Mshindi mara nne wa tuzo ya soka ya Dunia (Ballon D'Or) Lionel Messi amekua akipokea sifa kadha wa kadha kutoka kila upande Duniani kwa staili yake ya uchezaji mpira anayewavutia walo wengi, ndani ya umri wake wa miaka 26.
Licha ya kumsifia Ronaldo, alisema kuwa bado ana umri mdogo na anuwezo wa kufanya makubwa zaidi kwenye soka kuliko haya tunayoshuhudia sasa, kwa upande mwingine Ronaldo alipinga Messi kuitwa Mungu wa mpira akisema kuwa bado anahitaji kuonyesha uwezo zaidi ya huu alionaosasa kuitwa hilo jina.
Kwa upande mwingine hakuacha kumtaja wajina wake Mreno Christian Ronaldo nakusema kuwa ni mchezaji mzuri alistaili kuchukua tuzo ya Dunia iliyopita kwani alionyesha uwezo, lakini pia amekuwa akiwafurahisha wale mashabiki wa Real Madrid kama yeye kwa kuisadia timu kufanya vizuri.

No comments:
Post a Comment